Nafasi za kazi za Udereva LL COSMETICS, Driver

Location
Kinondoni, Mikocheni Dar Es Salaam
Description
DRIVER – LL COSMETICS (FULL TIME – 3 MONTH PROBATION PERIOD)
LL Cosmetics is one of the fastest growing cosmetics companies in Tanzania. We are looking for a professional and trustworthy driver who can join our growing team.

You must have REFERENCES to apply for this job and you must have certificates of driving.

We are looking for an experienced driver to join our team.
Qualities you will have

• Honest – We are looking for someone who is honest and always tells the truth. We want someone with integrity who is ready to drive and serve with honesty.

• Trustworthy – You will be the most trustworthy person on the team who is entrusted with driving the Management and general staff.

• Technically skilled – You will be a technically skilled driver who drives safely to ensure complete and total safety of all staff members.
• Skilled at dealing with traffic police – You will know how to handle being stopped by the vehicle inspectors and traffic officers. You must be able to manage this without assistance from Management.

• Knowledge of trustworthy garages – We are looking for trustworthy garages to work with to build our fleet of cars that we want to grow. You will be the first port of call to fix any problems with any car(s) we will have.

• Professional – You will be an extremely professional driver who treats all car passengers with respect. You will be required to drive in the VIP style of picking up the Director of the business and opening doors. It is understood that there will be night-time driving and weekend driving as need be.

• Knowledgeable of locations in Dar-es-Salaam and Tanzania
Duties

• To drive the Commercial Director and her guests
• To drive staff members when required
• To do deliveries when required
• To do weekend driving at any time required
• To do night-time driving
• Maintain high standards of driving at all times
• Drive professionally at all times
• Ensure the car is road-worthy and safe to drive
• Ensure the car is fixed

Compensation
• 300,000/= TZS to be paid monthly via bank account
• 3 month probation contract and upon successful completion, a permanent position could be offered

How to apply
Call 0692 709 128
to apply for the job.

You can also bring your CV to our shop in Mikocheni A. 

Warning: Any Job Vacancy Requesting Payment is a Scam
Nafasi za kazi za Udereva LL COSMETICS, Driver Nafasi za kazi za Udereva LL COSMETICS, Driver

Reviewed by jobs mpya on Thursday, May 25, 2017 Rating: 5

18 comments:

  1. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 39 ni dereva kwa miaka 10sasa nilie pata mafunzo kupitia chuo cha Taifa cha usafirishaji na kupata leseni daraja C naomba ajira kwa yeyote anaye husika, nina familia ya mke na watoto watatu, asante, wenu katika ujenzi wa Taifa.

    ReplyDelete
  2. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 39 ni dereva kwa miaka 10sasa nilie pata mafunzo kupitia chuo cha Taifa cha usafirishaji na kupata leseni daraja C naomba ajira kwa yeyote anaye husika, nina familia ya mke na watoto watatu, asante, wenu katika ujenzi wa Taifa.

    ReplyDelete
  3. Naitwa Elimokozi v kileo, Nina umri wa miaka 28. Naomba kaz ya udereva, Nina uzoef wa miaka 2 ktk udereva,lesen yangu ni daraja D,E. Na nmesoma ktk chuo cha ufundi VETA, Dar es salaam.
    Mawasiliano. 0764565649, 0714278522.

    ReplyDelete
  4. Habari ,Mimi no kijana Wa kitanzania in dereva miaka 6 sasa Ila Nina daraja A,B,D pia E Nina uzoefu Wa miaka 6 na nimesoma southern driven mtwara na ninajua ufundi Poa nimepita utani boy pia gerage kwa miaka 3 naombeni kazi ndugu zangu

    ReplyDelete
  5. Mm naitwa christpher charlse nina umri 28 naomba kaz ya udereva ninauzoefu wa miaka 7katika udereva wangu leseni yangu class E nimesoma chuo cha ufundi veta chan'gombe dar es salaam kwa mawasiliano 0653806210

    ReplyDelete
  6. Mimi in kijana mwenye miaka 28 naomba kaz ya udereva Nina uzoefu was miaka 4 leseni yangj ni class A,B,C1,C2,C3,D kwa mawasilian 0675308764 au 0762971859

    ReplyDelete
  7. Kwajina naitwa haji nondo haji nina umri 29 naomba kaz ya udereva ninauzowefu wa miaka 7katika udereva wangu leseni yangu class C1,D1,D na natokea zanzibar na kwamawasiliano zaid 0777223892 na 0676967599

    ReplyDelete
  8. Kwajina naitwa haji nondo haji nina umri 29naomba kaz ya udereva ninauzowefu wa miaka 7katika udereva wangu lesen yangu class C1,D1,D nipo zanzibar kwamasilian 0777223892 na 0676967599

    ReplyDelete
  9. Kwaajina naitwa MANSOUR NASSOR MLANZI ninaumri wa miaka25,nikiwa na elimu ya kidato cha nne,nikiwa nimesomea udereva na kupata grade d ninauzoefu wa mwenzi mmoja,tafadhali naomba ajira kwa yeyote muhusika.

    ReplyDelete
  10. Kwaajina naitwa MANSOUR NASSOR MLANZI ninaumri wa miaka25,nikiwa na elimu ya kidato cha nne,nikiwa nimesomea udereva na kupata grade d ninauzoefu wa mwenzi mmoja,tafadhali naomba ajira kwa yeyote muhusika.0785485872/0653058598.

    ReplyDelete
  11. Mimi naitwa William Leonard
    ninaumri wa miaka37 nikiwa na elimu ya kidato cha nne,nikiwa nimesomea udereva na kupata grade B D E kutoka chou cha veta ninauzoefu wa miaka miwili,tafadhali naomba ajira kwa kampuni yoyote namba zangu za simu ni 0622418307 Au 0716221481

    ReplyDelete
  12. Kwa majina naitwa David nickobay ,nina umri wa miaka(31) nina elimu ya secondary form 4 nimepita chuo NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT nina driving licence class B,D,E,C1,C2,C3 nauzoefu wa miaka 12 nimefanya kazi (VRM) VENTURE RISK MANAGEMENT kwa mkataba wa miaka 5 nikiwa kama VIP driver wa BG,OPHIR

    ReplyDelete
  13. Kwa majina naitwa David nickobay ,nina umri wa miaka(31) nina elimu ya secondary form 4 nimepita chuo NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT nina driving licence class B,D,E,C1,C2,C3 nauzoefu wa miaka 12 nimefanya kazi (VRM) VENTURE RISK MANAGEMENT kwa mkataba wa miaka 5 nikiwa kama VIP driver wa BG,OPHIR. Number zangu ni +255 746 000988. Asante.

    ReplyDelete
  14. Kwa jina naitwa ABDALLAH SAID MOHAMED nina umri wa miaka 35,naomba kazi ya udereva wa gari ndogo lesen yangu ni daraja D, nina uzoefu wa miaka kumi(10)katika udereva.. Hata kumuendesha mtu binafsi mi nipo tayari nafanya hiyo kazi. Nipo Morogoro.
    Asanteni sana.

    ReplyDelete
  15. Kwa jina naitwa ABDALLAH SAID MOHAMED,nina umri wa miaka (35)naomba kazi ya udereva wa gari ndogo,lesen yangu ni daraja D na nina uzoefu wa miaka kumi(10)gari yoyote ndogo naendesha na nipo tayari hata kumuendesha mtu binafsi. Naishi morogoro mawasiliano yangu ni, 0622015360/0683592955

    ReplyDelete
  16. Naitwa baraka umri miaka 32 nipo DODOMA..... natafuta kazi ya udereva lesen yangu A A2 B C C1 C2 C3 D E...... wasiliano yangu +255784895054 MUNGU awabariki.

    ReplyDelete
  17. Naitwa Hamis Faraji nina umri wa miaka 26 nipo Dodoma natafuta kazi ya udereva leseni yangu ina madaraja A B C1 C2 C3 D na E namba ya simu yangu 0766239456 mahari popote nipotiali uzoefu miaka sita mpaka saiz

    ReplyDelete
  18. Naitwa musa ramadhani nina umri wa miaka 22 nilikuwa naomba kupata kazi ya udereva nina uzoefu wa kutosha wa kuedesha gari ndogo leseni yangu ni class A,D napatikana dar es salaam +255753881633

    ReplyDelete

Powered by Blogger.