HOW TO APPLY PPLY KAZI ONLINE KUPITIA RECRUITMENT PORTAL – UTUMISHI – portal.ajira.go.tz
User who wants jobs/kazi through utumishi should enter portal.ajira.go.tz, website of secreteriate of ajira (utumishi) which is used to make applications za kazi through one system . Utumishi walitoa user guide kwa ajili ya kurahisisha process za applications.
Download hapa: Online Application User Manual.pdf
if you have any problems dont hesistate to ask : AJIRA TANZANIA ONLINE DISCUSSIONS
Download hapa: Online Application User Manual.pdf
if you have any problems dont hesistate to ask : AJIRA TANZANIA ONLINE DISCUSSIONS
Warning: Any Job Vacancy Requesting Payment is a Scam
HOW TO APPLY PPLY KAZI ONLINE KUPITIA RECRUITMENT PORTAL – UTUMISHI – portal.ajira.go.tz
Reviewed by jobs mpya
on
Monday, April 24, 2017
Rating:
Tangu niweke cv na vielelezo vyangu kwenye iyo portal yao, sijawahi ona hata mtu wa kunibip.
ReplyDeleteTukishindwa kujiajiri, tujitafakari akiri zetu wenyewe.
usikate Tamaa Endelea kuomba wapo wengi waliopata keep on Applying
DeleteMbona ukiweka cv na vielelezo haikupi option ya subimitt?
DeleteUkiona hivyo ujue kuna step umeruka ndio maana, na siku nyingine mtandao wao unakuwa upo down server inakuwa down
DeleteNaomba msaada kujua jinsi ya ku activate account yangu maana mimi kila nikitaka kuingia naambiwa inactive account
DeleteOkay the best thing to do, fungua Email mpya na Ujiregister na Uapload vyeti vyako na Cv Thank You
DeleteNaomba mwongozo jinsi ya kujisajili na hiyo account pls nakwama
DeleteKuwa na subira Mshirikishe Mungu...
Deletenenda kwenye job allert halafu chagua kazi gani zikitoka ufahamishwe na kwa njia gani pia unaweza bonyeza *152*00# nenda kwenye ajira halafu utachagua subscribe baada ya kuchagua kazi gani ufahamishwe
Deletenaomba email ya kutumia kuapply plz kwa yeyote anaejua
ReplyDeleteCha Msingi Ingia kwenye Portal Yao Kafanye Registration http://portal.ajira.go.tz/ weka cv Zako halafu usmit kwao Halafu Pindi zikitoka Nafasi wanakuwa wanakutumia email, wewe unachofanya Unaclick Ile Post Una Login na Kusbmit tu unakuwa umemaliza mchezo
DeleteJamani naombeni mnisaidie Details zote zimejaza lakini inaishia asilimia 62%.Na niko chini ya aslimia sabini hivyo nashindwa kufanya application inanigomea inaniandikia Incomplete profile,naombeni msaada
ReplyDeleteUtakuwa kuna sehemu unakosea cheki vzr
DeleteIvi inafikaga kweli 100
DeleteZangu pia naambiwa bado hazijafika 70 wakat vyet vyote nishaeka au
Deletemm nmechemka kabsa hasa kwenye vyet upande wa udereva msaada pls
Deletemm nmechemka kabsa kwa upande wa udereva vyet vinazingua namna yakuviweka
DeleteNamba ya nida inatumika once not twice my friend so chakufanya rudi kwenye ileile akaunt ya Mara ya kwanza weka vyeti vyako sehemu usika
Deleteambae alisha wai fanikisha atupe mwongozo
ReplyDeleteHongeza referees na check kwenye qualifications details if zako sawa according to arrangement
ReplyDeleteMbona online teachers application system sipati interface yake naomba msaada please
ReplyDeleteHizi ajira za uwalimu mbona hakuna sehemu ya kutumia?? Au bado hawajaziruhusu
ReplyDeleteHivi mm nko bara nkiomba kazi kufanyia Zanzibar ntapelekwa...????
ReplyDeleteto open the account I succeed but the issues that challenge me is to find a sheet in Oder fill necessary details for application, so any one who can help me, reply this comment or text me through email
ReplyDeleteto open the account I succeed but the issues that challenge me is to find a sheet in Oder fill necessary details for application, so any one who can help me, reply this comment or text me through email
ReplyDeleteShould the cover letter also be scanned to submit and complete the application or what should be done.
ReplyDeletei have the same question
Deletenaomba msaada kwa yeyote anaeweza kunisaidia nivip nifanye niweze ku-log in kwa sababu kila nikijarib kingiza passward na email naambiwa accounnt not active na kwenye sparm folder in email is empty naomba kwa anaefaham how to solve anisaidie
ReplyDeletekama ulishatumaga na ninataka my update CV yangu ni lazima nianze upya na mbona sioni ile ya zamani
ReplyDeleteJaman mm ndo kwanza naanza kutumia hii njia kuapply kazi na cjui nianzie wap mpaka wap. Naommba muongozo maana deadline ya kuomba kaz ni tar 23/08/2018
ReplyDeleteJaman mm ndo kwanza naanza kutumia hii njia kuapply kazi na cjui nianzie wap mpaka wap. Naommba muongozo maana deadline ya kuomba kaz ni tar 23/08/2018
ReplyDeleteMi kila nikitaka ku log in inakataa. Tatzo n nn ?
ReplyDeleteNimejaza tarifa zote imeniwekea asilimia 89 toka mwaka jana nimeomba nafasi mara nyingi sana lakini sijawahi kuitwa kwenye interview
ReplyDeleteWengine wananiambia inabidi niweke copy za attachments zenye muhuri wa mahakama sijui ukweli ni upi msaada plz
Jamani mi mgeni nimetuma cv zangu utumixhi cjawahi pigiwa cm naombeni meongozo wakubwa zangu.
ReplyDeleteNaomba msaada wenu mnielekeze jinsi ya kucomplete account yangu maana nikifika sehemu ya transcript na kuweka CV inagoma na hizo CV zipo kwenye document naomba msaada wenu
ReplyDeleteHayo ni mambo ya it baba
DeleteZieke in PDF format
DeleteNaomba msaada kuna anaejua/aliyeitwa kwenye interview muhimbili?
ReplyDeleteNaomba msaada..kwenye ku register inagoma kwenye email comfirmation inasema does not match with my email..sielewiii
ReplyDeleteEnter your comment...jamani naombeni msaada ninacreate account inagoma nifanyeje?
ReplyDeletembona kila nikitaka kufanya application inadai pass word incorrect? wakati kila mara natumia hiyohiyo? Tatizo nini jamani naombeni msaada wenu.
ReplyDeleteMm kila nikilog in inakataa,don't know wat to do asee
ReplyDeleteKila nikilog in inaniambia nakosea,nikitaka Ni reset password inanikatalia pia...am stuck here,don't wat to do
ReplyDeleteNaomben mnisaidie wapendwa nimesahau username na password nifanyaje.....
ReplyDeleteNaomben mnisaidie wapendwa nimesahau username na password nifanyaje.....
ReplyDeletejamani mi nashindwa ku apply naombeni msaada
ReplyDeleteMimi nikijaribu kuregister inaniambia account exists nikijaribu kulogin inaniambia inncorect password nikijaribu kubadili password inaniambia tena incorrect username tatizo nini?
ReplyDeletekwl hii nibalaa deadline tarehe 30/1/2019 nafasi TRA toka nimeanza kulog ininanigomeamsaadajamani
ReplyDeletedah
DeleteNaomben msaada kwa anaejua jins ya kuapply ukishafikisha asilimia zinazotakiwa maana mm najaribu nashindwa
ReplyDeleteI wanna know how to update my personal details ,contact and Cv after application for jobs
ReplyDeleteAisee jamani naombeni ufafanuz zaidi juu ya ku-apply maana kila nikijaribu nashindwa
ReplyDeleteMbona nikitaka Ku apply kazi inaniambia my account is inactive?
ReplyDeleteNaomben msaada wapendwa me n mara yangu ya kwnza kujisajir kwny hii huduma lkn kila nikiingiz username kwnye usajiri naambiwa invalid username ssa cjui nakwama wapi nahitaji msaada wenu plz
ReplyDeleteNaomben msaada wapendwa me n mara yangu ya kwnza kujisajir kwny hii huduma lkn kila nikiingiz username kwnye usajiri naambiwa invalid username ssa cjui nakwama wapi nahitaji msaada wenu plz
ReplyDeleteJaman Mimi kuajaza nishamaliza issue inakuja nijitaka kuandaa application letter anuani ya mwandikiwa naitoa wapi coz kwenye tangazo siioni
ReplyDeleteI can't register, I need help.
ReplyDeleteI can'register I need help guy
ReplyDeleteMm ni mgeni humu nahitaji kijiunga naomba maelekezo
ReplyDeleteHivi karibuni nikiwa na appl mmea attached vet vya kuzaliwa Mara kutokana na shida ya mtandao sasa nifuteje ili ibaki mmoja Au nifanyaje tena
ReplyDeleteJe nifanyaje nlkuw na apply nika attach cheti cha kuzaliwa Mara mbili je ni Sawa kuach na kma kufuta nfanyaje ndugu zangu
ReplyDeletejamani msaada kila nikijarib kuapply inagoma inaniambia Check Academic Programmes Qualifications Requirements for the Job Post na kila kitu nimeweka, nifanyej?
ReplyDeleteAta mimi kuaply vimeshindikana aise Aliye fanikiwa atusaidie
ReplyDeletejamani msaada kila nikijarib kuapply inagoma inaniambia Check Academic Programmes Qualifications Requirements for the Job Post na kila kitu nimeweka, nifanyej?
ReplyDeleteNa Mimi Nina tatizo kama la hapo juu kila Niki apply naambiwa check acadmiac programmes qualifications Requirements for.the job post
ReplyDeleteNaomba kujua kwann kla nktaka kuingia naambiwa inactive accnt na nmebadil email nkajirejista upya lkn bdo nkiingia inakataa bdo inanambia inactive accnt
ReplyDeletenaombeni msaada, jinsi ya kufuta cheti nilichokiweka mwanzo.
ReplyDeletemaana mwanzoni kulikuwa na option ya ku-delete lakini sasa kuna VIEW na EDIT
hata mimi nimepata hii shida aisee. sijui itakuwaje
Deletehata mimi napata shida mda unazidi kwisha za application na nafasi zinazohitajika ni za level ambayo uliisoma na hatakama uliongeza ujuzi wakusoma level ya juu yake kwanini ishindikane mtu kuapply level ya chini mfano; wametangaza nafasi ya technician ujuz uliosomea na mtu kwenye account ya ajira portal attach hadi cha degree na diploma kwanini huyu muhusika ashindwe kuwa huru kuomba kazi hiyo ya technician maana cheti husika ipo na kama ni umeoverqualify basi kuwe na uwezekano wakufuta hizo za degree ili mtu uweze ajira sekta unayotaka kuajiriwa.
Deleteapplication zinasumbua, deadline inafika then baada ya muda watu wmanaitwa. Sasa sijui wenzetu wanatumia mtandao gani
ReplyDeleteNaomba msaada nitaka kuomba kazi nashidwa waniambia nijisajiri na nin na tayari nimesha sajiri maana nikiingiza namba Tena inasema tayari imeshatumiaka nifanyaje jamani
ReplyDeleteHalafu ukitaka kuedit unafanyaje
ReplyDeleteNaomba kuuliza kuna mahala nimekisea sasa nimejalbu kulud nyuma nikakuta kila kitu kisha jisave na sion mahala pa kufanya editing msahada apo.
ReplyDeletetafadhalini tupeni option ya ku delete.
ReplyDeletemaana tunakosa msaada baada ya kukosea
nikitaka kuaply niingie wap wajomba sion mlango
ReplyDeleteNaomba msaada nilifungua akaunt nikawa documents nimezipachika pasipo husika ikanibidi nifute ila ikashindikana nikaamua kufungua akaunti nyingne yenyewe nimejaza vzuri ila namaba ya NIDA ndiyo imegoma kutumika Mara mbili nafanyeje??
ReplyDeleteNamba ya nida inatumika once not twice my friend so chakufanya rudi kwenye ileile akaunt ya Mara ya kwanza weka vyeti vyako sehemu usika
DeleteJamani nisaidieni kujisajili ili niombe kazi
ReplyDeletenimepost academic qualification mara tatu naomba namna ya kuvfuta msaada please
ReplyDeletenaomba msaada nimejisajili kwenye tovuti ya sekretarieti ya ajira ila nikitaka ku kwenye account inaonyesha account inactive
ReplyDeletenashidwa kuactivate account yangu, msaada please
ReplyDeleteJamani naombeni masada kilanjikiapply naambiwa sorry!you can not apply for the job post na kila kitu nimekamolisha na hapo awali nilikuwa niapply vizur tu
ReplyDeleteMsaada plz
Namba yangu ya NIDA nikiweka naambiwa ishatumika nifanyaje?
ReplyDelete