JOBS TANZANIA; DRIVER
Mkurugenzi Mtendaji we Halmashauri yo Wilaya ya Ngorongoro anawetangazia Wananchi wote wenye sifa kutuma maombi ya kazi kwa kuzingatia vigezo na maelezo yaliyo kalika Tangazo hili.
Dereva daraja Ia (Nafasi 01)
SIFA
Awe na Elimu ya kidato cha nne (lV), leseni daraja C ya uendeshaji pamoja na uzoefu kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali, mwenye chef cha majaribio yo Ufundi daraja Ia II.
Ngazi ya Mshahara
Kwe kuzingolia viwango vya mishahara vya Serikali ngazi yo Mshahara yo TGOS A kwa mwezi.
Majukumu ya Kazi
Kuendesha magari ya Halmashouri
Kuhakikisha gari na vyamba vyake vipo katiko hali nzuri wakati wote na kufanya uchunguzi wa gari baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo
Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari
Kutunza na kuandika daltari To salari "Logbook" kwa salari zate.
Masharti ya Jumla kwa waombaji.
Mwombaji awe Raia wa Tanzania
Mwombaji awe na umri kati ya miaka 18 hodi 40
Barua zoIe ziandikwe kwa mkono no ziambatane na nyaraka zifualaza:-
Maelezo binafsi (CV)
Nakala za vyeti kidato cha 4 au 6, na cheti cha kuzaliwa.
Picha ndogo moja (Passport size) ya hivi karibuni.
Transcript, "Testimonial", Provisional Result au statement of Result havitakubaliwa.
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Barua zote ziwe na anuani ya mwombaji na namba ya simu (kama ipo na zitumwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji,
HaImaShauri ya WiIaya ya Ngorongoro,
S.LP. 1,
LOLIONDO.
Tareheyo Mwisho yo kupokea maombi ni tarehe 20/11/2015 saa tisa na nusu (9:30) alasiri.
John K. Mgalula
MKURUGENZI MTENDAJI WlLAYA
NGORONGORO
Warning: Any Job Vacancy Requesting Payment is a Scam
JOBS TANZANIA; DRIVER
Reviewed by jobs mpya
on
Saturday, November 07, 2015
Rating:
No comments: