HOW TO APPLY PPLY KAZI ONLINE KUPITIA RECRUITMENT PORTAL – UTUMISHI – portal.ajira.go.tz


User who wants jobs/kazi through utumishi should enter portal.ajira.go.tz, website of secreteriate of ajira (utumishi) which is used to make applications za kazi through one system . Utumishi walitoa user guide kwa ajili ya kurahisisha process za applications.

Download hapa: Online Application User Manual.pdf

if you have any problems dont hesistate to ask : AJIRA TANZANIA ONLINE DISCUSSIONS
Warning: Any Job Vacancy Requesting Payment is a Scam
HOW TO APPLY PPLY KAZI ONLINE KUPITIA RECRUITMENT PORTAL – UTUMISHI – portal.ajira.go.tz HOW TO APPLY PPLY KAZI ONLINE KUPITIA RECRUITMENT PORTAL – UTUMISHI – portal.ajira.go.tz Reviewed by jobs mpya on Monday, April 24, 2017 Rating: 5

83 comments:

  1. Tangu niweke cv na vielelezo vyangu kwenye iyo portal yao, sijawahi ona hata mtu wa kunibip.
    Tukishindwa kujiajiri, tujitafakari akiri zetu wenyewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. usikate Tamaa Endelea kuomba wapo wengi waliopata keep on Applying

      Delete
    2. Mbona ukiweka cv na vielelezo haikupi option ya subimitt?

      Delete
    3. Ukiona hivyo ujue kuna step umeruka ndio maana, na siku nyingine mtandao wao unakuwa upo down server inakuwa down

      Delete
    4. Naomba msaada kujua jinsi ya ku activate account yangu maana mimi kila nikitaka kuingia naambiwa inactive account

      Delete
    5. Okay the best thing to do, fungua Email mpya na Ujiregister na Uapload vyeti vyako na Cv Thank You

      Delete
    6. Naomba mwongozo jinsi ya kujisajili na hiyo account pls nakwama

      Delete
    7. Kuwa na subira Mshirikishe Mungu...

      Delete
    8. nenda kwenye job allert halafu chagua kazi gani zikitoka ufahamishwe na kwa njia gani pia unaweza bonyeza *152*00# nenda kwenye ajira halafu utachagua subscribe baada ya kuchagua kazi gani ufahamishwe

      Delete
  2. naomba email ya kutumia kuapply plz kwa yeyote anaejua

    ReplyDelete
    Replies
    1. Cha Msingi Ingia kwenye Portal Yao Kafanye Registration http://portal.ajira.go.tz/ weka cv Zako halafu usmit kwao Halafu Pindi zikitoka Nafasi wanakuwa wanakutumia email, wewe unachofanya Unaclick Ile Post Una Login na Kusbmit tu unakuwa umemaliza mchezo

      Delete
  3. Jamani naombeni mnisaidie Details zote zimejaza lakini inaishia asilimia 62%.Na niko chini ya aslimia sabini hivyo nashindwa kufanya application inanigomea inaniandikia Incomplete profile,naombeni msaada

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utakuwa kuna sehemu unakosea cheki vzr

      Delete
    2. Zangu pia naambiwa bado hazijafika 70 wakat vyet vyote nishaeka au

      Delete
    3. mm nmechemka kabsa hasa kwenye vyet upande wa udereva msaada pls

      Delete
    4. mm nmechemka kabsa kwa upande wa udereva vyet vinazingua namna yakuviweka

      Delete
    5. Namba ya nida inatumika once not twice my friend so chakufanya rudi kwenye ileile akaunt ya Mara ya kwanza weka vyeti vyako sehemu usika

      Delete
  4. ambae alisha wai fanikisha atupe mwongozo

    ReplyDelete
  5. Hongeza referees na check kwenye qualifications details if zako sawa according to arrangement

    ReplyDelete
  6. Mbona online teachers application system sipati interface yake naomba msaada please

    ReplyDelete
  7. Hizi ajira za uwalimu mbona hakuna sehemu ya kutumia?? Au bado hawajaziruhusu

    ReplyDelete
  8. Hivi mm nko bara nkiomba kazi kufanyia Zanzibar ntapelekwa...????

    ReplyDelete
  9. to open the account I succeed but the issues that challenge me is to find a sheet in Oder fill necessary details for application, so any one who can help me, reply this comment or text me through email

    ReplyDelete
  10. to open the account I succeed but the issues that challenge me is to find a sheet in Oder fill necessary details for application, so any one who can help me, reply this comment or text me through email

    ReplyDelete
  11. Should the cover letter also be scanned to submit and complete the application or what should be done.

    ReplyDelete
  12. naomba msaada kwa yeyote anaeweza kunisaidia nivip nifanye niweze ku-log in kwa sababu kila nikijarib kingiza passward na email naambiwa accounnt not active na kwenye sparm folder in email is empty naomba kwa anaefaham how to solve anisaidie

    ReplyDelete
  13. kama ulishatumaga na ninataka my update CV yangu ni lazima nianze upya na mbona sioni ile ya zamani

    ReplyDelete
  14. Jaman mm ndo kwanza naanza kutumia hii njia kuapply kazi na cjui nianzie wap mpaka wap. Naommba muongozo maana deadline ya kuomba kaz ni tar 23/08/2018

    ReplyDelete
  15. Jaman mm ndo kwanza naanza kutumia hii njia kuapply kazi na cjui nianzie wap mpaka wap. Naommba muongozo maana deadline ya kuomba kaz ni tar 23/08/2018

    ReplyDelete
  16. Mi kila nikitaka ku log in inakataa. Tatzo n nn ?

    ReplyDelete
  17. Nimejaza tarifa zote imeniwekea asilimia 89 toka mwaka jana nimeomba nafasi mara nyingi sana lakini sijawahi kuitwa kwenye interview
    Wengine wananiambia inabidi niweke copy za attachments zenye muhuri wa mahakama sijui ukweli ni upi msaada plz

    ReplyDelete
  18. Jamani mi mgeni nimetuma cv zangu utumixhi cjawahi pigiwa cm naombeni meongozo wakubwa zangu.

    ReplyDelete
  19. Naomba msaada wenu mnielekeze jinsi ya kucomplete account yangu maana nikifika sehemu ya transcript na kuweka CV inagoma na hizo CV zipo kwenye document naomba msaada wenu

    ReplyDelete
  20. Naomba msaada kuna anaejua/aliyeitwa kwenye interview muhimbili?

    ReplyDelete
  21. Naomba msaada..kwenye ku register inagoma kwenye email comfirmation inasema does not match with my email..sielewiii

    ReplyDelete
  22. Enter your comment...jamani naombeni msaada ninacreate account inagoma nifanyeje?

    ReplyDelete
  23. mbona kila nikitaka kufanya application inadai pass word incorrect? wakati kila mara natumia hiyohiyo? Tatizo nini jamani naombeni msaada wenu.

    ReplyDelete
  24. Mm kila nikilog in inakataa,don't know wat to do asee

    ReplyDelete
  25. Kila nikilog in inaniambia nakosea,nikitaka Ni reset password inanikatalia pia...am stuck here,don't wat to do

    ReplyDelete
  26. Naomben mnisaidie wapendwa nimesahau username na password nifanyaje.....

    ReplyDelete
  27. Naomben mnisaidie wapendwa nimesahau username na password nifanyaje.....

    ReplyDelete
  28. jamani mi nashindwa ku apply naombeni msaada

    ReplyDelete
  29. Mimi nikijaribu kuregister inaniambia account exists nikijaribu kulogin inaniambia inncorect password nikijaribu kubadili password inaniambia tena incorrect username tatizo nini?

    ReplyDelete
  30. kwl hii nibalaa deadline tarehe 30/1/2019 nafasi TRA toka nimeanza kulog ininanigomeamsaadajamani

    ReplyDelete
  31. Naomben msaada kwa anaejua jins ya kuapply ukishafikisha asilimia zinazotakiwa maana mm najaribu nashindwa

    ReplyDelete
  32. I wanna know how to update my personal details ,contact and Cv after application for jobs

    ReplyDelete
  33. Aisee jamani naombeni ufafanuz zaidi juu ya ku-apply maana kila nikijaribu nashindwa

    ReplyDelete
  34. Mbona nikitaka Ku apply kazi inaniambia my account is inactive?

    ReplyDelete
  35. Naomben msaada wapendwa me n mara yangu ya kwnza kujisajir kwny hii huduma lkn kila nikiingiz username kwnye usajiri naambiwa invalid username ssa cjui nakwama wapi nahitaji msaada wenu plz

    ReplyDelete
  36. Naomben msaada wapendwa me n mara yangu ya kwnza kujisajir kwny hii huduma lkn kila nikiingiz username kwnye usajiri naambiwa invalid username ssa cjui nakwama wapi nahitaji msaada wenu plz

    ReplyDelete
  37. Jaman Mimi kuajaza nishamaliza issue inakuja nijitaka kuandaa application letter anuani ya mwandikiwa naitoa wapi coz kwenye tangazo siioni

    ReplyDelete
  38. I can't register, I need help.

    ReplyDelete
  39. Mm ni mgeni humu nahitaji kijiunga naomba maelekezo

    ReplyDelete
  40. Hivi karibuni nikiwa na appl mmea attached vet vya kuzaliwa Mara kutokana na shida ya mtandao sasa nifuteje ili ibaki mmoja Au nifanyaje tena

    ReplyDelete
  41. Je nifanyaje nlkuw na apply nika attach cheti cha kuzaliwa Mara mbili je ni Sawa kuach na kma kufuta nfanyaje ndugu zangu

    ReplyDelete
  42. jamani msaada kila nikijarib kuapply inagoma inaniambia Check Academic Programmes Qualifications Requirements for the Job Post na kila kitu nimeweka, nifanyej?

    ReplyDelete
  43. Ata mimi kuaply vimeshindikana aise Aliye fanikiwa atusaidie

    ReplyDelete
  44. jamani msaada kila nikijarib kuapply inagoma inaniambia Check Academic Programmes Qualifications Requirements for the Job Post na kila kitu nimeweka, nifanyej?

    ReplyDelete
  45. Na Mimi Nina tatizo kama la hapo juu kila Niki apply naambiwa check acadmiac programmes qualifications Requirements for.the job post

    ReplyDelete
  46. Naomba kujua kwann kla nktaka kuingia naambiwa inactive accnt na nmebadil email nkajirejista upya lkn bdo nkiingia inakataa bdo inanambia inactive accnt

    ReplyDelete
  47. naombeni msaada, jinsi ya kufuta cheti nilichokiweka mwanzo.
    maana mwanzoni kulikuwa na option ya ku-delete lakini sasa kuna VIEW na EDIT

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata mimi nimepata hii shida aisee. sijui itakuwaje

      Delete
    2. hata mimi napata shida mda unazidi kwisha za application na nafasi zinazohitajika ni za level ambayo uliisoma na hatakama uliongeza ujuzi wakusoma level ya juu yake kwanini ishindikane mtu kuapply level ya chini mfano; wametangaza nafasi ya technician ujuz uliosomea na mtu kwenye account ya ajira portal attach hadi cha degree na diploma kwanini huyu muhusika ashindwe kuwa huru kuomba kazi hiyo ya technician maana cheti husika ipo na kama ni umeoverqualify basi kuwe na uwezekano wakufuta hizo za degree ili mtu uweze ajira sekta unayotaka kuajiriwa.

      Delete
  48. application zinasumbua, deadline inafika then baada ya muda watu wmanaitwa. Sasa sijui wenzetu wanatumia mtandao gani

    ReplyDelete
  49. Naomba msaada nitaka kuomba kazi nashidwa waniambia nijisajiri na nin na tayari nimesha sajiri maana nikiingiza namba Tena inasema tayari imeshatumiaka nifanyaje jamani

    ReplyDelete
  50. Halafu ukitaka kuedit unafanyaje

    ReplyDelete
  51. Naomba kuuliza kuna mahala nimekisea sasa nimejalbu kulud nyuma nikakuta kila kitu kisha jisave na sion mahala pa kufanya editing msahada apo.

    ReplyDelete
  52. tafadhalini tupeni option ya ku delete.
    maana tunakosa msaada baada ya kukosea

    ReplyDelete
  53. nikitaka kuaply niingie wap wajomba sion mlango

    ReplyDelete
  54. Naomba msaada nilifungua akaunt nikawa documents nimezipachika pasipo husika ikanibidi nifute ila ikashindikana nikaamua kufungua akaunti nyingne yenyewe nimejaza vzuri ila namaba ya NIDA ndiyo imegoma kutumika Mara mbili nafanyeje??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Namba ya nida inatumika once not twice my friend so chakufanya rudi kwenye ileile akaunt ya Mara ya kwanza weka vyeti vyako sehemu usika

      Delete
  55. Jamani nisaidieni kujisajili ili niombe kazi

    ReplyDelete
  56. nimepost academic qualification mara tatu naomba namna ya kuvfuta msaada please

    ReplyDelete
  57. naomba msaada nimejisajili kwenye tovuti ya sekretarieti ya ajira ila nikitaka ku kwenye account inaonyesha account inactive

    ReplyDelete
  58. nashidwa kuactivate account yangu, msaada please

    ReplyDelete
  59. Jamani naombeni masada kilanjikiapply naambiwa sorry!you can not apply for the job post na kila kitu nimekamolisha na hapo awali nilikuwa niapply vizur tu
    Msaada plz

    ReplyDelete
  60. Namba yangu ya NIDA nikiweka naambiwa ishatumika nifanyaje?

    ReplyDelete

Powered by Blogger.